LIGI KUU ENGLAND: HADI LEO, KLABU KWA KLABU, WACHEZAJI GANI NJE, NANI NDANI WAPYA!!

MSIMU Mpya wa EPL, LIGI KUU ENGLAND, wa 2017/18 unaanza Agosti 12 ukitanguliwa na ile Mechi ya Kufungua Pazia Msimu kugombea Ngao ya Jamii kati ya Mabingwa Chelsea na waliobeba FA CUP, Arsenal, itakayochezwa Agosti 6 Uwanjani Wembley Jijini London.

EPL-17-18-SITTayari Klabu 20 za EPL zipo kwenye harakati za kujenga Vikosi vyao na baadhi vishachukua Wachezaji Wapya na pia kutangaza wale iliowaacha rasmi.

FAHAMU: Dirisha la Uhamisho litafunguliwa rasmi Julai 1 na Kufungwa Alhamisi Agosti 31 Saa 7 Usiku, Saa za Bongo.

HADI SASA HAYA NDIO YAMEJIRI KLABU KWA KLABU:

>>**Listi hii itakuwa ikichapishwa upya kadri uhamisho mpya unapokamilika/kuthibitika [Si Uvumi!].

AFC Bournemouth

Ndani

Asmir Begovic (Chelsea) Ada Haikutajwa

Arsenal

Ndani

Sead Kolasinac (Schalke) Uhamisho wa Bure

Brighton & Hove Albion

Ndani

Pascal Gross (Ingolstadt) Ada Haikutajwa

Josh Kerr (Celtic) Ada Haikutajwa

Mathew Ryan (Valencia) Ada Haikutajwa

Burnley

Nje

Michael Kightly Ametemwa

Joey Barton Ametemwa

George Green Ametemwa

R J Pingling Ametemwa

Christian Hill Ametemwa

Taofiq Olmowewe Ametemwa

Jon Flanagan (Liverpool) Mwisho wa Mkopo

Chelsea

Nje

Juan Cuadrado (Juventus) Ada Haikutajwa

Christian Atsu (Newcastle United) Ada Haikutajwa

Asmir Begovic (AFC Bournemouth) Ada Haikutajwa

Dominic Solanke (Liverpool) Uhamisho wa Bure

Alex Kiwomya (Doncaster Rovers) Ada Haikutajwa

Everton

Ndani

Jordan Pickford (Sunderland) £25m

Davy Klaassen (Ajax) €27m

Nje

Tom Cleverley (Watford) Ada Haikutajwa

Leicester City

Ndani

Sam Hughes (Chester) Ada Haikutajwa

Harry Maguire (Hull City) Ada Haikutajwa

Liverpool

Ndani

Dominic Solanke (Chelsea) Uhamisho wa Bure

Manchester City

Ndani

Bernardo Silva (AS Monaco) Ada Haikutajwa

Ederson (Benfica) Ada Haikutajwa

Nje

Pablo Zabaleta (West Ham United) Uhamisho wa Bure

Gael Clichy Ametemwa

Jesus Navas Ametemwa

Willy Caballero Ametemwa

Bacary Sagna Ametemwa

Unas Emel (Villarreal) Ada Haikutajwa

Angus Gunn (Norwich City) Mkopo

Manchester United

Ndani

Victor Lindelof (Benfica) Ada Haikutajwa

Newcastle United

Ndani

Christian Atsu (Chelsea) Ada Haikutajwa

Nje

Florian Thauvin (Marseille) Ada Haikutajwa

Kevin Mbabu (BSC Young Boys) Ada Haikutajwa

Southampton

Nje

Manager: Claude Puel

Cuco Martina Ametemwa

Lloyd Isgrove Ametemwa

Harley Willard Ametemwa

Martin Caceres Ametemwa

Jason McCarthy (Barnsley) Ada Haikutajwa

Stoke City

Ndani

Darren Fletcher (West Bromwich Albion) Uhamisho wa Bure

Nje

Daniel Bachmann Ametemwa

Shay Given Ametemwa

Liam Edwards Ametemwa

Harry Isted Ametemwa

Joel Taylor Ametemwa

George Waring Ametemwa

Swansea City

Nje

Gerhard Tremmel Ametemwa

Marvin Emnes Ametemwa

Liam Shephard Ametemwa

Josh Vickers Ametemwa

Owain Jones Ametemwa

Tom Dyson Ametemwa

Tom Holland Ametemwa

Alex Samuel (Stevenage) Ada Haikutajwa

Watford

Ndani

Head coach: Marco Silva

Tom Cleverley (Everton) Ada Haikutajwa

West Bromwich Albion

Nje

Darren Fletcher (Stoke City) Uhamisho wa Bure

West Ham United

Ndani

Pablo Zabaleta (Manchester City) Uhamisho wa Bure

Nje

Jonathan Calleri (Deportivo Maldonado) Mwisho wa Mkopo

Gokhan Tore (Besiktas) Mwisho wa Mkopo

Alvaro Arbeloa Ametemwa

Sam Howes Ametemwa

Sam Ford Ametemwa

Kyle Knoyle Ametemwa

Sam Westley Ametemwa

Habari MotoMotoZ