EPL: LIVERPOOL WABANWA MBAVU KWAO ANFIELD NA WEST HAM ILIYOJINASUA MKIANI!

EPL, LIGI KUU ENGLAND

Matokeo:

Jumapili Desemba 11

Chelsea 1 West Bromwich Albion 0        

Manchester United 1 Tottenham Hotspur 0       

Southampton 1 Middlesbrough 10

Liverpool 2 West Ham United 2

++++++++++++++++++++++

LIVER-WESTHAMMakosa ya Makipa hii Leo yameifanya Mechi ya EPL, Ligi Kuu England, iliyochezwa Anfield kati ya Liverpool na West Ham United imalizike kwa Sare ya 2-2 ambayo imewakwamua West Ham kutoka zile Timu 3 za mwisho mkiani huku Liverpool ikiwa Nafasi ya 3.

Liverpool walitangulia kufunga kwa Bao la Dakika ya 5 la Adam Lallana na West Ham kujibu kwa Frikiki ya Dakika ya 27 Dimitri Payet na kupiga Bao la Pili Dakika ya 39 upitia Michail Antonio.

Kosa kubwa la Kipa wa West Ham Darren Randolph kutema Krosi iliyomfikia Divock Origi aliefunga kilaini katika Dakika ya 48 na kuwapa Sare Liverpool.EPL-DES11B

EPL, LIGI KUU ENGLAND

Ratiba:

**Saa za Bongo

Jumanne Desemba 13

2245 Bournemouth v Leicester City       

2245 Everton v Arsenal     

Jumatano Desemba 14

2245 Middlesbrough v Liverpool  

2245 Sunderland v Chelsea         

2240 West Ham United v Burnley

2300 Crystal Palace v Manchester United

2300 Manchester City v Watford            

2300 Stoke City v Southampton            

2300 Tottenham Hotspur v Hull City               

2300 West Bromwich Albion v Swansea City              

Jumamosi Desemba 17

1530 Crystal Palace v Chelsea               

1800 Middlesbrough v Swansea City     

1800 Stoke City v Leicester City  

1800 Sunderland v Watford                  

1800 West Ham United v Hull City          

2030 West Bromwich Albion v Manchester United      

Jumapili Desemba 18

1630 Bournemouth v Southampton       

1900 Manchester City v Arsenal   

1900 Tottenham Hotspur v Burnley                 

Jumatatu Desemba 19

2300 Everton v Liverpool   

Habari MotoMotoZ