FIFA KOMBE LA MABARA: GERMANY WAIBWAGA AUSTRALIA!

AUS GERGERMANY, Mabingwa wa Dunia, wameanza vyema Mechi yao ya Kundi B la Mashindano ya FIFA ya Kombe la Mabara iliyochezwa huko Fisht Stadium, Mjini Sochi, Nchini Russia, kwa kuibwaga Australia 3-2.

Hadi Mapumziko Germany waliongoza 2-1 kwa Bao za Lars Stindl, Dakika ya 5, na Julian Draxler, Penati ya Dakika 45, wakati Australia wakifunga Bao lao Dakika ya 41 ambalo alifunga Tom Rogic.

Kipindi cha Pili, Germany walipiga Bao la 3 Dakika ya 48 Mfungaji akiwa Leon Goretzka lakini Australia wakapata Bao la Pili Dakika ya 58 kupitia Tomi Juric.

Kesho Jumanne ni Mapumziko na Jumatano zipo Mechi 2 za Kundi A ambapo Wenyeji Russia wataanza na Portugal na kufuatia Mexico na New Zealand.

VIKOSI:

Australia: Ryan; Degenek, Sainsbury, Wright; Leckie, Milligan, Mooy, Behich; Luongo, Rogic; Juric

Germany: Leno; Kimmich, Mustafi, Rudiger, Hector; Goretzka, Rudy, Stindl; Draxler, Brandt, S. Wagner

REFA: Mark Geiger (USA)

++++++++++++++++

FIFA KOMBE LA MABARA

Ratiba/Matokeo:

Hatua ya Kwanza

Jumamosi Juni 17

KUNDI A

Saint Petersburg Stadium, Saint Petersburg

Russia 2 New Zealand 0

Jumapili Juni 18

KUNDI A

Kazan Arena, Kazan

Portugal 2 Mexico 2

KUNDI B

Spartak Stadium, Moscow

Cameroon 0 Chile 2

Jumatatu Juni 19

KUNDI B

Fisht Stadium, Sochi

Australia 2 Germany 3

Jumatano Juni 21

KUNDI A

Spartak Stadium, Moscow

1800 Russia v Portugal

Fisht Stadium, Sochi

2100 Mexico v New Zealand

Alhamisi Juni 22

KUNDI B

Saint Petersburg Stadium, Saint Petersburg

1800 Cameroon v Australia

Kazan Arena, Kazan

2100 Germany v Chile

Jumamosi Juni 24

KUNDI A

Kazan Arena, Kazan

1800 Mexico v Russia

Saint Petersburg Stadium, Saint Petersburg

1800 New Zealand v Portugal

Jumapili Juni 25

KUNDI B

Fisht Stadium, Sochi

1800 Germany v Cameroon

Spartak Stadium, Moscow

1800 Chile v Australia

Hatua ya Pili

Nusu Fainali

Jumatano Juni 28

Kazan Arena, Kazan

2100 Mshindi Kundi A v Mshindi wa Pili Kundi B [NF1]

Alhamisi Juni 29

Fisht Stadium, Sochi

2100 Mshindi Kundi B v Mshindi wa Pili Kundi A [NF2]

Mshindi wa 3

Jumapili Julai 2

Spartak Stadium, Moscow

1500 Atakaefungwa NF1 v Atakaefungwa NF2

FAINALI

Jumapili Julai 2

Saint Petersburg Stadium, Saint Petersburg

2100 Mshindi NF1 v Mshindi NF2

Habari MotoMotoZ