FIFA KOMBE LA MABARA: WENYEJI RUSSIA WAANZA KWA USHINDI!

FIFA-CONFED-RUSSIA-SHANGWE>JUMAPILI PORTUGAL v MEXICO, CAMEROON v CHILE!

WENYEJI Russia wameanza vyema katika Mechi ya Kundi A ambayo ni Mechi ya Ufunguzi ya FIFA Kombe la Mabara, Mashindano ambayo huandaliwa na FIFA Mwaka Mmoja kabla ya Fainali za Kombe la Dunia kwenye Nchi ambayo ndiyo Wenyeji wa Fainali hizo, walipoichapa New Zealand Bao 2-0 ndani ya Saint Petersburg Stadium, Mjini Saint Petersburg.

Russia walifunga Bao lao la kwanza Dakika ya 31 kupitia Glushakov aliepokea Pasi safi kutoka kwa Poloz.

Hadi Mapumziko Russia 1 New Zealand 0.

Bao la Pili la Russia lilipachikwa Dakika ya 68 baada ya Pasi ya kutoka Winga ya Kulia ya Samedov kukoswa na Mabeki wa New Zealand na kumkuta Smolov aliekwamisha Mpira wavuni kilaini.

++++++++++++++++

MAKUNDI:

KUNDI A

KUNDI B

Russia (Wenyeji)

Cameroon (CAF)

New Zealand (OFC-Oceania Footbal Confederation)

Chile (CONMEBOL)

Portugal (UEFA)

Australia (AFC)

Mexico (CONCACAF)

Germany (Mabingwa Watetezi)

++++++++++++++++

Jumapili zipo mechi mbili ambapo kwenye Kundi A Portugal watacheza na Mexico na Kundi B Cameroon kukipiga na Chile.

VIKOSI:

RUSSIA (Mfumo 3-5-2): Akinfeev; Kudryashov, Vasin, Dzhikiya; Samedov, Erokhin [Dmitriy Tarasov, 77], Glushakov, Golovin, Zhirkov; Smolov, Poloz [Alexander Bukharov, 64]

Akiba: Smolnikov, Shishkin, Kambolov, Bukharov, Gabulov, Kutepov, Miranchuk, Marinato, Kanunnikov, Tarasov, Kombarov, Gazinskiy

NEW ZEALAND (Mfumo 4-2-3-1): Marinovic; Boxall, Smith, Durante, Wynne; Colvey [Monty Mark Patterson, 83], McGlinchey; Barbarouses [Bill Tuiloma, 61], Rojas [Shane Smeltz, 71], Thomas; Wood.

Akiba: Brotherton, Tzimopoulos, Tuiloma, Smeltz, Moss, Patterson, Lewis, Ingham, Doyle, Rufer, Roux, Williams

REFA: Wilmar Roldán (Colombia)

++++++++++++++++

FIFA KOMBE LA MABARA

Ratiba/Matokeo:

Hatua ya Kwanza

Jumamosi Juni 17

KUNDI A

Saint Petersburg Stadium, Saint Petersburg

Russia 2 New Zealand 0

Jumapili Juni 18

KUNDI A

Kazan Arena, Kazan

1800 Portugal v Mexico

KUNDI B

Spartak Stadium, Moscow

2100 Cameroon v Chile 

Jumatatu Juni 19

KUNDI B

Fisht Stadium, Sochi

1800 Australia v Germany

Jumatano Juni 21

KUNDI A

Spartak Stadium, Moscow

1800 Russia v Portugal

Fisht Stadium, Sochi

2100 Mexico v New Zealand

Alhamisi Juni 22

KUNDI B

Saint Petersburg Stadium, Saint Petersburg

1800 Cameroon v Australia

Kazan Arena, Kazan

2100 Germany v Chile

Jumamosi Juni 24

KUNDI A

Kazan Arena, Kazan

1800 Mexico v Russia

Saint Petersburg Stadium, Saint Petersburg

1800 New Zealand v Portugal

Jumapili Juni 25

KUNDI B

Fisht Stadium, Sochi

1800 Germany v Cameroon

Spartak Stadium, Moscow

1800 Chile v Australia

Hatua ya Pili

Nusu Fainali

Jumatano Juni 28

Kazan Arena, Kazan

2100 Mshindi Kundi A v Mshindi wa Pili Kundi B [NF1]

Alhamisi Juni 29

Fisht Stadium, Sochi

2100 Mshindi Kundi B v Mshindi wa Pili Kundi A [NF2]

Mshindi wa 3

Jumapili Julai 2

Spartak Stadium, Moscow

1500 Atakaefungwa NF1 v Atakaefungwa NF2

FAINALI

Jumapili Julai 2

Saint Petersburg Stadium, Saint Petersburg

2100 Mshindi NF1 v Mshindi NF2

Habari MotoMotoZ