RIPOTI SPESHO

AFCON 2017: KUNDI A BURKINABE, CAMEROON ZAINGIA ROBO FAINALI, WENYEJI GABON NJE!

AFCON2017-VIWANJA4WENYEJI Gabon wametupwa nje ya AFCON 2017, Mashindano ya 31 ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, baada ya kutoka Sare 0-0 na Cameroon huko Libreville katika Mechi yao ya mwisho ya Kundi A.

Sasa Cameroon na Burkina Faso, ambao Jana waliifunga Guinea-Bissau 2-0, wamesonga Robo Fainali huku Burkinabe wakiwa Washindi wa Kwanza wa Kundi na Cameroon ni wa Pili.

Nchi nyingine ambazo zimetinga Robo Fainali wakiwa na Mechi 1 mkononi ni Senegal na Ghana.

Leo zipo Mechi za mwisho za Kundi B ambapo Senegal watacheza na Algeria na Zimbabwe kuivaa AFCON-JAN23Tunisia huku Algeria na Tunisia zikisaka kuungana na Senegal Robo Fainali na Zimbabwe ikikamilisha Ratiba tu.

Ratiba/Matokeo:

**Saa za Bongo

Mechi za Makundi

Jumamosi Januari 14

Kundi A

Gabon 1 Guinea-Bissau 1

Burkina Faso 1 Cameroon 1

Jumapili Januari 15

Kundi B

Algeria 2 Zimbabwe 2

Tunisia 0 Senegal 2

Jumatatu Januari 16

Kundi C

Ivory Coast 0 Togo 0

Congo DR 1 Morocco 0

Jumanne Januari 17

Kundi D

Ghana 1 Uganda 0

Mali 0 Egypt 0

Jumatano Januari 18

Kundi A

Gabon 1 Burkina Faso 1

Cameroon 2 Guinea-Bissau 1

Alhamisi Januari 19

Kundi B

Algeria 1 Tunisia 2

Senegal 2 Zimbabwe 0

Ijumaa Januari 20

Kundi C

Ivory Coast 2 Congo DR 2

Morocco 3 Togo 1

Jumamosi Januari 21

Kundi D

Ghana 1 Mali 0

Egypt 1 Uganda 0

Jumapili Januari 22

Kundi A

Cameroon 0 Gabon 0

Guinea-Bissau 0 Burkina Faso 2

Jumatatu Januari 23

Kundi B

2200 Senegal v Algeria

2200 Zimbabwe v Tunisia

Jumanne Januari 24

Kundi C

2200 Morocco v­­ Ivory Coast

2200 Togo v Congo DR

Jumatano Januari 25

Kundi D

2200 Egypt v Ghana

2200 Uganda v Mali

Robo Fainali

Jumamosi Januari 28

1900 Burkina Faso v Mshindi wa 2 Kundi B

2200 Mshindi Kundi B v Cameroon

Jumapili Januari 29

1900 Mshindi Kundi C v Mshindi wa 2 Kundi D

2200 Mshindi Kundi D v Mshindi wa 2 Kundi C

Nusu Fainali

Jumatano Februari 1

2200 Mshindi RF 1 v Mshindi RF 4

Alhamisi Februari 2

2200 Mshindi RF 2 v Mshindi RF 3

Mshindi wa 3

Jumamosi Februari 4

2200 Aliefungwa NF 1 v Aliefungwa NF 2

Fainali

Jumapili Februari 5

2200 Finalist 1 v Finalist 2

NCHI ZILIZOWAHI KUTWAA UBINGWA WA AFRIKA:

-Egypt-Mara 7
-Cameroon, Ghana-Mara 4
-Nigeria-Mara 3
-Congo DR-Mara 2
-Zambia, Algeria, Congo, Ethiopia, Ivory Coast, Morocco, South Africa, Sudan, Tunisia-Mara 1

AFCON 2017: GYAN AIPELEKA GHANA ROBO FAINALI, BAO PEKEE LA DAKIKA YA 89 LAIFUNGISHA VIRAGO UGANDA!

AFCON2017-VIWANJA4WAKATI Asamoah Gyan akiidungia Ghana Bao pekee walipoifunga Mali 1-0 huko Gabon katika Mechi ya Pili ya Kundi D la AFCON 2017, Egypt, katika Mechi nyingine ya Kundi D, waliifunga Uganda 1-0 na kuwatupa nje Uganda katika Mashindano hayo.
Mapema Jana huko Port-Gentil, Gyan alifunga Bao pekee na kuifanya Ghana wawe Nchi ya Pili kutinga Robo Fainali baada ya Juzi Senegal nao kusonga wakibakisha Mechi 1 katika Makundi yao.
Katika Mechi ya Pili ya Kundi D, Bao la Dakika ya 89 la Mchezaji alieanzia Benchi Abdallah El Said liliipa ushindi Egypt wa 1-0 na kitupa Uganda nje ya Nashindano huku wakibakisha Mechi 1.
Katika Mechi ya mwisho, Ghana watacheza na Egypt hapa Jumatano na Egypt wanahitaji Sare tu ili kufuzu.
Siku hiyohiyo Mali watahitaji kuifunga Uganda Siku hiyo ya Jumatano huku wakiomba Egypt ifungwe ili wao wafuzu 
Leo Jumapili zipo Mechi za mwisho za Kundi A huko Libreville ambapo Wenyeji Gabon watalazimika kuifunga Cameroon ili kufuzu na Sare itawaacha waombe matokeo mema kwao katika Mechi nyingine ya Kundi hilo kati ya Burkina Faso na Guinea-Bissau.
Jana Rais wa Gabon Ali Bongo alwatembelea Wachezaji wa Nchi hiyo ili kuwapa morali.
AFCON 2017
Ratiba/Matokeo:
**Saa za Bongo
Mechi za Makundi
Jumamosi Januari 14
Kundi A
Gabon 1 Guinea-Bissau 1
Burkina Faso 1 Cameroon 1
Jumapili Januari 15
Kundi B
Algeria 2 Zimbabwe 2
Tunisia 0 Senegal 2
Jumatatu Januari 16
Kundi C
Ivory Coast 0 Togo 0
Congo DR 1 Morocco 0
Jumanne Januari 17
Kundi D
Ghana 1 Uganda 0
Mali 0 Egypt 0
Jumatano Januari 18
Kundi A
Gabon 1 Burkina Faso 1
Cameroon 2 Guinea-Bissau 1
Alhamisi Januari 19
Kundi B
Algeria 1 Tunisia 2
Senegal 2 Zimbabwe 0
Ijumaa Januari 20
Kundi C
Ivory Coast 2 Congo DR 2
Morocco 3 Togo 1
Jumamosi Januari 21
Kundi D
Ghana 1 Mali 0
 Egypt 1 Uganda 0
Jumapili Januari 22
Kundi A
2200 Cameroon v Gabon
2200 Guinea-Bissau v Burkina Faso
Jumatatu Januari 23
Kundi B
2200 Senegal v Algeria
2200 Zimbabwe v Tunisia
Jumanne Januari 24
Kundi C
2200 Morocco v­­ Ivory Coast
2200 Togo v Congo DR
Jumatano Januari 25
Kundi D
2200 Egypt v Ghana
2200 Uganda v Mali
Robo Fainali
Jumamosi Januari 28
1900 Mshindi Kundi A v Mshindi wa 2 Kundi B
2200 Mshindi Kundi B v Mshindi wa 2 Kundi A
Jumapili Januari 29
1900 Mshindi Kundi C v Mshindi wa 2 Kundi D
2200 Mshindi Kundi D v Mshindi wa 2 Kundi C
Nusu Fainali
Jumatano Februari 1
2200 Mshindi RF 1 v Mshindi RF 4
Alhamisi Februari 2
2200 Mshindi RF 2 v Mshindi RF 3
Mshindi wa 3
Jumamosi Februari 4
2200 Aliefungwa NF 1 v Aliefungwa NF 2
Fainali
Jumapili Februari 5
2200 Finalist 1 v Finalist 2
NCHI ZILIZOWAHI KUTWAA UBINGWA WA AFRIKA:
-Egypt-Mara 7
-Cameroon, Ghana-Mara 4
-Nigeria-Mara 3
-Congo DR-Mara 2
-Zambia, Algeria, Congo, Ethiopia, Ivory Coast, Morocco, South Africa, Sudan, Tunisia-Mara

AFCON 2017: MABINGWA IVORY COAST HALI TETE, WAJITUTUMUA SARE NA CONGO DR!

AFCON2017-VIWANJA4MABINGWA WATETEZI wa Kombe la Mataifa ya Afrika Ivory Coast Leo wamejitutumua huko Oyem Stadium Mjini Oyem Nchini Gabon kupata Sare ya 2-2 walipocheza na Congo DR katika Mechi yao ya pili ya Kundi C la AFCON 2017, Mashindano ya 31 ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika.

Mara mbili Ivory Coast walikuwa nyuma na kusawazisha hii ikiwa ni Droo yao ya pili kwenye Kundi C la AFCON 2017 baada kutoka 0-0 katika Mechi yao ya kwanza na Togo.

Congo DR walishinda Mechi yao ya kwanza ya Kundi C kwa kuitungua Morocco 1-0.

Hii Leo, Congo DR walifunga Bao lao la kwanza Dakika ya 10 Mfungaji akiwa Neeskens Kebano na Ivory Coast kusawazisha kwa Kichwa cha Wilfried Bony Dakika ya 26 lakikni Dakika 2 baadae Congo DR walikwenda 2-1 mbele kwa Goli la Junior Kabananga.

Ivory Coast walisawazisha Dakika ya 67 baada ya Shuti la Serey Die kumbabatiza Mchezaji wa Congo DR na kumpoteza Kipa wa Congo DR.

Baada ya Mechi 2, Congo DR wako juu Kundi C wakiwa na Pointi 4 na Ivory Coast wana Pointi 2.

Baadae Usiku huu ipo Mechi nyingine ya Kundi C kati ya Morocco na Togo.

Ratiba/Matokeo:

**Saa za Bongo

Mechi za Makundi

Jumamosi Januari 14

Kundi A

Gabon 1 Guinea-Bissau 1

Burkina Faso 1 Cameroon 1

Jumapili Januari 15

Kundi B

Algeria 2 Zimbabwe 2

Tunisia 0 Senegal 2

Jumatatu Januari 16

Kundi C

Ivory Coast 0 Togo 0

Congo DR 1 Morocco 0

Jumanne Januari 17

Kundi D

Ghana 1 Uganda 0

Mali 0 Egypt 0

Jumatano Januari 18

Kundi A

Gabon 1 Burkina Faso 1

Cameroon 2 Guinea-Bissau 1

Alhamisi Januari 19

Kundi B

Algeria 1 Tunisia 2

Senegal 2 Zimbabwe 0

Ijumaa Januari 20

Kundi C

Ivory Coast 2 Congo DR 2

2200 Morocco v Togo

Jumamosi Januari 21

Kundi D

1900 Ghana v Mali

2200 Egypt v Uganda

Jumapili Januari 22

Kundi A

2200 Cameroon v Gabon

2200 Guinea-Bissau v Burkina Faso

Jumatatu Januari 23

Kundi B

2200 Senegal v Algeria

2200 Zimbabwe v Tunisia

Jumanne Januari 24

Kundi C

2200 Morocco v­­ Ivory Coast

2200 Togo v Congo DR

Jumatano Januari 25

Kundi D

2200 Egypt v Ghana

2200 Uganda v Mali

Robo Fainali

Jumamosi Januari 28

1900 Mshindi Kundi A v Mshindi wa 2 Kundi B

2200 Mshindi Kundi B v Mshindi wa 2 Kundi A

Jumapili Januari 29

1900 Mshindi Kundi C v Mshindi wa 2 Kundi D

2200 Mshindi Kundi D v Mshindi wa 2 Kundi C

Nusu Fainali

Jumatano Februari 1

2200 Mshindi RF 1 v Mshindi RF 4

Alhamisi Februari 2

2200 Mshindi RF 2 v Mshindi RF 3

Mshindi wa 3

Jumamosi Februari 4

2200 Aliefungwa NF 1 v Aliefungwa NF 2

Fainali

Jumapili Februari 5

2200 Finalist 1 v Finalist 2

NCHI ZILIZOWAHI KUTWAA UBINGWA WA AFRIKA:

-Egypt-Mara 7
-Cameroon, Ghana-Mara 4
-Nigeria-Mara 3
-Congo DR-Mara 2
-Zambia, Algeria, Congo, Ethiopia, Ivory Coast, Morocco, South Africa, Sudan, Tunisia-Mara 1

AFCON 2017: SENEGAL YA KWANZA KUTINGA ROBO FAINALI, TUNISIA YAIBWAGA ALGERIA!

>LEO MABINGWA WATETEZI IVORY COAST NA CONGO DR!

AFCON2017-VIWANJA4SENEGAL Jana wameichapa Zimbabwe 2-0 katika Mechi ya Kundi B la AFCON 2017, Mashindano ya 31 ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, yanayochezwa huko Nchini Gabon, na kuwa Nchi ya kwanza kutinga Robo Fainali huku wakiwa na Mechi 1 mkononi.

Bao zote za Senegal zilifungwa ndani ya Dakika 13 za kwanza huko Mjini Franceville, Gabon kupitia Straika wa Liverpool Sadio Mane na Henri Saivet.

Matoke ohayo, licha ya kuwapeleka Robo Fainali, pia yamehakikisha watamaliza Kundi B wakiwa ndio Nambari Wani hata wakifungwa na Algeria katika Mechi yao ya mwisho.

Nao Tunisia, ambao walichapwa na Senegal 2-0 katika Mechi yao ya kwanza ya Kundi B, Jana waliifunga Algeria 2-1 katika Mechi nyingine ya Kundi B na wanahitaji Sare tu na Zimbabwe katika Mechi yao ya mwisho ili waingie Robo Fainali pamoja na Senegal.

Bao zote za Mechi ya Tunisia na Algeria zilifungwa Kipindi cha Pili na Tunisia walifunga Bao lao la kwanza baada ya Krosi ya Youssef Msakni kutumbukizwa wavuni na Beki wa Algeria Aissa Mandi na la pili kwa Penati ya Naim Sliti iliyotoloewa baada ya Wahbi Khazri kuchezewa Faulo na Faouzi Ghoulam.

Algeria walipata Bao lao pekee Dakika za Majeruhi Mfungaji akiwa Sofianne Hanni.

MSIMAMO:

AFCON-JAN19

Algeria sasa wana kibarua kigumu kufuzu Robo Fainali kwani kwanza wanatakiwa kuifunga Senegal katika Mechi yao ya mwisho na kisha kuomba Zimbabwe iifunge Algeria nah apo ndipo, pengine, wanaweza kufunga kwa Ubora wa Magoli au Tombola ya kurushwa Sarafu.

Leo zipo Mechi 2 za Kundi C kati ya Mabingwa Watetezi Ivory Coast na Congo DR na nyingine ni Morocco na Togo.

Ratiba/Matokeo:

**Saa za Bongo

Mechi za Makundi

Jumamosi Januari 14

Kundi A

Gabon 1 Guinea-Bissau 1

Burkina Faso 1 Cameroon 1

Jumapili Januari 15

Kundi B

Algeria 2 Zimbabwe 2

Tunisia 0 Senegal 2

Jumatatu Januari 16

Kundi C

Ivory Coast 0 Togo 0

Congo DR 1 Morocco 0

Jumanne Januari 17

Kundi D

Ghana 1 Uganda 0

Mali v Egypt

Jumatano Januari 18

Kundi A

Gabon 1 Burkina Faso 1

Cameroon 2 Guinea-Bissau 1

Alhamisi Januari 19

Kundi B

Algeria 1 Tunisia 2

Senegal 2 Zimbabwe 0

Ijumaa Januari 20

Kundi C

1900 Ivory Coast v Congo DR

2200 Morocco v Togo

Jumamosi Januari 21

Kundi D

1900 Ghana v Mali

2200 Egypt v Uganda

Jumapili Januari 22

Kundi A

2200 Cameroon v Gabon

2200 Guinea-Bissau v Burkina Faso

Jumatatu Januari 23

Kundi B

2200 Senegal v Algeria

2200 Zimbabwe v Tunisia

Jumanne Januari 24

Kundi C

2200 Morocco v­­ Ivory Coast

2200 Togo v Congo DR

Jumatano Januari 25

Kundi D

2200 Egypt v Ghana

2200 Uganda v Mali

Robo Fainali

Jumamosi Januari 28

1900 Mshindi Kundi A v Mshindi wa 2 Kundi B

2200 Mshindi Kundi B v Mshindi wa 2 Kundi A

Jumapili Januari 29

1900 Mshindi Kundi C v Mshindi wa 2 Kundi D

2200 Mshindi Kundi D v Mshindi wa 2 Kundi C

Nusu Fainali

Jumatano Februari 1

2200 Mshindi RF 1 v Mshindi RF 4

Alhamisi Februari 2

2200 Mshindi RF 2 v Mshindi RF 3

Mshindi wa 3

Jumamosi Februari 4

2200 Aliefungwa NF 1 v Aliefungwa NF 2

Fainali

Jumapili Februari 5

2200 Finalist 1 v Finalist 2

NCHI ZILIZOWAHI KUTWAA UBINGWA WA AFRIKA:

-Egypt-Mara 7
-Cameroon, Ghana-Mara 4
-Nigeria-Mara 3
-Congo DR-Mara 2
-Zambia, Algeria, Congo, Ethiopia, Ivory Coast, Morocco, South Africa, Sudan, Tunisia-Mara 1

AFCON 2017: CAMEROON JUU KUNDI A, WENYEJI GABON WATOKA SARE!

>LEO ALGERIA NA TUNISIA, KISHA SENEGAL NA ZIMBABWE!

AFCON2017-VIWANJA4MABINGWA msara 4 Afrika Cameroon Jana wameifunga Guinea-Bissau 2-1 na kukwea kilele cha Kundi A la AFCON 2017, Mashindano ya 31 ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, yanayochezwa huko Nchini Gabon.

Bao za Cameroon zilifungwa na Siani, Dakika ya 61 na Ngadeu-Nadjui, Dakika ya 78 wakati la Guinea-Bissau likifungwa Dakika ya 13 na Brito Silva.

Mapema Jana, Wenyeji Gabon walitoka 1-1 na Burkina Fasso.

Leo zipo Mechi 2 za Kundi B kati ya Algeria na Tunisia na kisha Senegal na Zimbabwe.

Ratiba/Matokeo:

**Saa za Bongo

Mechi za Makundi

Jumamosi Januari 14

Kundi A

Gabon 1 Guinea-Bissau 1

Burkina Faso 1 Cameroon 1

Jumapili Januari 15

Kundi B

Algeria 2 Zimbabwe 2

Tunisia 0 Senegal 2

Jumatatu Januari 16

Kundi C

Ivory Coast 0 Togo 0

Congo DR 1 Morocco 0

Jumanne Januari 17

Kundi D

Ghana 1 Uganda 0

Mali v Egypt

Jumatano Januari 18

Kundi A

Gabon 1 Burkina Faso 1

Cameroon 2 Guinea-Bissau 1

Alhamisi Januari 19

Kundi B

1900 Algeria v Tunisia

2200 Senegal v Zimbabwe

Ijumaa Januari 20

Kundi C

1900 Ivory Coast v Congo DR

2200 Morocco v Togo

Jumamosi Januari 21

Kundi D

1900 Ghana v Mali

2200 Egypt v Uganda

Jumapili Januari 22

Kundi A

2200 Cameroon v Gabon

2200 Guinea-Bissau v Burkina Faso

Jumatatu Januari 23

Kundi B

2200 Senegal v Algeria

2200 Zimbabwe v Tunisia

Jumanne Januari 24

Kundi C

2200 Morocco v­­ Ivory Coast

2200 Togo v Congo DR

Jumatano Januari 25

Kundi D

2200 Egypt v Ghana

2200 Uganda v Mali

Robo Fainali

Jumamosi Januari 28

1900 Mshindi Kundi A v Mshindi wa 2 Kundi B

2200 Mshindi Kundi B v Mshindi wa 2 Kundi A

Jumapili Januari 29

1900 Mshindi Kundi C v Mshindi wa 2 Kundi D

2200 Mshindi Kundi D v Mshindi wa 2 Kundi C

Nusu Fainali

Jumatano Februari 1

2200 Mshindi RF 1 v Mshindi RF 4

Alhamisi Februari 2

2200 Mshindi RF 2 v Mshindi RF 3

Mshindi wa 3

Jumamosi Februari 4

2200 Aliefungwa NF 1 v Aliefungwa NF 2

Fainali

Jumapili Februari 5

2200 Finalist 1 v Finalist 2

NCHI ZILIZOWAHI KUTWAA UBINGWA WA AFRIKA:

-Egypt-Mara 7
-Cameroon, Ghana-Mara 4
-Nigeria-Mara 3
-Congo DR-Mara 2
-Zambia, Algeria, Congo, Ethiopia, Ivory Coast, Morocco, South Africa, Sudan, Tunisia-Mara 1