EPL: KAMA KAWA LIVERPOOL WAICHAKAZA SPURS ANFIELD!

EPL – Ligi Kuu England

LIVER-SPURSMatokeo:

Jumamosi Februari 11

Arsenal 2 Hull City 0         

Manchester United 2 Watford 0             

Middlesbrough 0 Everton 0

Stoke City 1 Crystal Palace 0       

Sunderland 0 Southampton 4      

West Ham United 2 West Bromwich Albion 2             

Liverpool 2 Tottenham Hotspur 0 

+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

Bao 2 ndani ya Dakika 2 za Kipindi cha Kwanza zimeipaisha Liverpool na kukamata Nafasi ya 4 ya EPL, Ligi Kuu England, walipoichapa Tottenham Hotspur 2-0 hapo Jana huko Anfield, Jijini Liverpool.

Bao hizo za Liverpool zilipachikwa na Fowadi wao kutoka Senegal Sadio Mane na kuendeleza ile desturi ya Spurs kuambua vipigo kila atuapo Anfield.

++++++++++++++++++

JE WAJUA?

-Spurs imefungwa Mechi 16 kati ya 25 walizocheza Anfield dhidi ya Liverpool kwenye Ligi Kuu England wakishinda 2 tu na Sare 7.

++++++++++++++++++

Huu ni ushindi wa pili tu kwa Liverpool Mwaka huu 2017 waliounza vibaya na hatua njema kwao kubadili mwelekeo kwa kuifunga Timu inayoshika Nafasi ya Pili kwenye EPL.EPL-FEB11B

Spurs sasa wapo Pointi 9 nyuma ya Vinara Chelsea na pengo hili huenda likawa 12 ikiwa Chelsea watashinda hii Leo Ugenini na Burnley.

VIKOSI:

LIVERPOOL (Mfumo 4-3-3): Mignolet; Clyne, Matip, Lucas, Milner; Lallana, Henderson, Wijnaldum; Mane, Firmino, Coutinho.

Akiba: Karius, Moreno, Klavan, Can, Alexander-Arnold, Origi, Sturridge.

TOTTENHAM HOTSPUR: (Mfumo 4-2-3-1) Lloris; Walker, Alderweireld, Dier, Davies; Wanyama, Dembele; Eriksen, Alli, Son; Kane.

Akiba: Vorm, Trippier, Wimmer, Winks, Sissoko, Nkoudou, Janssen.

REFA: Anthony Taylor

EPL – Ligi Kuu England

Ratiba

Jumapili Februari 12

1600 Burnley v Chelsea    

1900 Swansea City v Leicester City                 

Jumatatu Februari 13

2300 Bournemouth v Manchester City   

Jumamosi Februari 25

1800 Chelsea v Swansea City               

1800 Crystal Palace v Middlesbrough              

1800 Everton v Sunderland         

1800 Hull City v Burnley             

Southampton v Arsenal [IMEAHIRISHWA]

1800 West Bromwich Albion v Bournemouth              

2030 Watford v West Ham United         

Jumapili Februari 26

1630 Tottenham Hotspur v Stoke City             

Manchester City v Manchester United [IMEAHIRISHWA]

Jumatatu Februari 27

2300 Leicester City v Liverpool             

Jumamosi Machi 4

1530 Manchester United v Bournemouth         

1800 Leicester City v Hull City              

1800 Stoke City v Middlesbrough          

1800 Swansea City v Burnley                

1800 Watford v Southampton               

1800 West Bromwich Albion v Crystal Palace             

2030 Liverpool v Arsenal            

Jumapili Machi 5

1630 Tottenham Hotspur v Everton       

1900 Sunderland v Manchester City      

Jumatatu Machi 6

2300 West Ham United v Chelsea