EPL: HULL CITY, EVERTON WAFUNGA MWAKA KWA DROO

HULL-EVERTONEverton walisawazisha Dakika ya 84 kwa Bao la Ross Barkley na kupata Sare ya 2-2 walipocheza na Hull City huko Kingston Communications Stadium kwenye Mechi pekee Jana Usiku ya EPL, Ligi Kuu England.

Matoke ohayo yamewatoa Hull kutoka mkiani na sasa wapo Nafasi ya 19 huku Everton wakibakia Nafasi yao ile ile ya 7.

Hull walitangulia kufunga kwa Bao la Michael Dawson na Everton kusawazisha Dakika za Majeruhi za Kipindi cha Kwanza baada ya Kipa David Marshall kupanchi Mpira wa Kona ya Kevin Mirallas na kutumbukia wavuni.

Frikiki ya Robert Snodgrass iliwapa Hull uongozi wa 2-1 lakini Barkley akawapa Sare ya 2-2.

++++++++++++++++++++++++

MAGOLI:

Hull City 2

Dawson 6'

Snodgrass 65'        

Everton 2

Marshall 46', Amejifunga Mwenyewe

Barkley 84'

++++++++++++++++++++++++

Leo zipo Mechi 7 za EPL za kufunga Mwaka nay a mwisho kabisa ni ule Mtanange mkali huko Anfield kati ya Liverpool na Manchester City.

VIKOSI:

Hull City: Marshall; Maguire, Dawson, Davies; Elmohamady, Livermore, Meyler, Diomande, Robertson; Snodgrass, Mbokani.
Akiba: Jakupovic, Huddlestone, Clucas, Maloney, Weir, Henriksen, Mason.

Everton: Joel; Coleman, Jagielka, Williams, Baines; Gueye, Barry; Valencia, Barkley, Mirallas; Lukaku.
Akiba: Hewelt, Funes Mori, Holgate, Cleverley, Davies, Lennon, Calvert-Lewin.

REFA: Jon Moss

EPL – Ligi Kuu England

Ratiba/Matokeo:

**Saa za Bongo

Ijumaa Desemba 30

Hull City 2 Everton 2                  

Jumamosi Desemba 31

1800 Burnley v Sunderland         

1800 Chelsea v Stoke City          

1800 Leicester City v West Ham United           

1800 Manchester United v Middlesbrough                 

1800 Southampton v West Bromwich Albion              

1800 Swansea City v Bournemouth                 

2030 Liverpool v Manchester City         

Jumapili Januari 1

1630 Watford v Tottenham Hotspur                

1900 Arsenal v Crystal Palace               

Jumatatu Januari 2

1530 Middlesbrough v Leicester City               

1800 Everton v Southampton               

1800 Manchester City v Burnley            

1800 Sunderland v Liverpool                

1800 West Bromwich Albion v Hull City           

2015 West Ham United v Manchester United             

Jumanne Januari 3

2245 Bournemouth v Arsenal                

2300 Crystal Palace v Swansea City                

2300 Stoke City v Watford 20:00

Jumatano Januari 4

2300 Tottenham Hotspur v Chelsea