EPL: MATA, MARTIAL WAING’OA MAN UNITED NAFASI YA 6!

>>NI REKODI: MAN UNITED WA KWANZA LIGI ENGLAND KUFIKISHA POINTI 2,000!

EPL – Ligi Kuu England

Ratiba/Matokeo:

Jumamosi Februari 11

Arsenal 2 Hull City 0         

Manchester United 2 Watford 0             

Middlesbrough 0 Everton 0

Stoke City 1 Crystal Palace 0       

Sunderland 0 Southampton 4      

West Ham United 2 West Bromwich Albion 2             

2030 Liverpool v Tottenham Hotspur     

+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

MANUNITED-MARTIAL-GOLI-WATFORDMANCHESTER UNITED wameifunga Watford 2-0 kwenye Mechi ya EPL, Ligi Kuu England, na kung;oka Nafasi ya 6 waliyoshikilia muda mrefu na sasa wapo Nafasi ya 5 na watabakia hapo labda baadae Leo Liverpool iifunge Tottenham.

Bao za Man United hii Leo zilifungwa katika kila Kipindi na Juan Mata, Dakika ya 32, na Anthony Martial Dakika ya 60 huku wakikosa lukuki ya Mabao.

Ushindi huu umewaweka Man United Nafasi ya 5 wakiwa na Pointi 48 na Pointi hizi 3 za Leo zimewafanya wafikishe Pointi 2,000 kwenye Ligi huko England na kuweka Rekodi mpya.

Pia sasa Man United wako kwenye mbio za Mechi 16 bila kufungwa kwenye EPL.EPL-FEB11A

VIKOSI:

MAN UNITED: de Gea, Valencia, Bailly, Smalling, Blind, Ander Herrera, Pogba, Mata, Mkhitaryan, Martial, Ibrahimovic.

Akiba: Rooney, Lingard, Carrick, Rashford, Romero, Fellaini, Darmian.

WATFORD: Gomes, Britos, Kaboul, Prodl, Cathcart, Holebas, Zarate, Capoue, Cleverley, Niang, Deeney.

Akiba: Mariappa, Success, Behrami, Doucoure, Janmaat, Okaka, Arlauskis.

REFA: Robert Madley

EPL – Ligi Kuu England

Ratiba

Jumapili Februari 12

1600 Burnley v Chelsea    

1900 Swansea City v Leicester City                 

Jumatatu Februari 13

2300 Bournemouth v Manchester City   

Jumamosi Februari 25

1800 Chelsea v Swansea City               

1800 Crystal Palace v Middlesbrough              

1800 Everton v Sunderland         

1800 Hull City v Burnley             

Southampton v Arsenal [IMEAHIRISHWA]

1800 West Bromwich Albion v Bournemouth              

2030 Watford v West Ham United         

Jumapili Februari 26

1630 Tottenham Hotspur v Stoke City             

Manchester City v Manchester United [IMEAHIRISHWA]

Jumatatu Februari 27

2300 Leicester City v Liverpool             

Jumamosi Machi 4

1530 Manchester United v Bournemouth         

1800 Leicester City v Hull City              

1800 Stoke City v Middlesbrough          

1800 Swansea City v Burnley                

1800 Watford v Southampton               

1800 West Bromwich Albion v Crystal Palace             

2030 Liverpool v Arsenal            

Jumapili Machi 5

1630 Tottenham Hotspur v Everton       

1900 Sunderland v Manchester City      

Jumatatu Machi 6

2300 West Ham United v Chelsea