VPL: SIMBA KUZIDI YATANUA KILELENI, SASA 4 MBELE YA YANGA, AZAM FC BADO DORO!

VPL

Ligi Kuu Vodacom

Jumamosi Desemba 24

Mbeya City 0 Toto Africans 0 [Sokoine, Mbeya]

Kagera Sugar 1 Stand United 0 [Kaitaba, Bukoba]

Ndanda FC 0 Mtibwa Sugar 2 [Nangwanda, Mtwara]

Simba 1 JKT Ruvu 0[Uhuru Stadium, Dar es Salaam]

Majimaji FC 1 Azam FC 1 [Majimaji, Songea]

Mwadui FC 1 Mbao FC 0 [Mwadui Complex, Mwadui]

+++++++++++++++++++++++++++

VPL-LOGO-MURUAVINARA wa VPL, Ligi Kuu Vodacom, Simba, wamezidi kuyoyomA kileleni mwa Ligi hiyo baada ya Leo kwenye Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaa kuifunga JKT Ruvu 1-0.

Bao hilo pekee la Simba lilifungwa na Muzamil Yassin kwenye Dakika ya 45 na kuipaisha kuwa Pointi 4 mbele ya Timu ya Pili Yanga

Mbali ya Mechi hiyo, pia Leo zilikiuwepo Mechi nyingine 5 za VPL kwa Timu za Kagera Sugar, Mtibwa Sugar na Mwadui kuibuka na ushindi huku Mechi 2 zikiwa ni Sare.VPL-DES24

Mbeya City ilitoka 0-0 na Toto Africans huko Sokoine, Mbeya na kule Uwanja wa Majimaji Songea Majimaji FC kutoka 1-1 na Azam FC.

VPL itaendelea Jumatatu kwa Mechi moja hiko Mabatini, Mlandizi kwa Ruvu Shooting kukipiga na Tanzania Prisons.

VPL

Ligi Kuu Vodacom

Jumatatu Desemba 26

Ruvu Shooting v Tanzania Prisons [Mabatini, Mlandazi]

Jumatano Desemba 28

Yanga v Ndanda FC [Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam]

Mtibwa Sugar v Majimaji FC [Manungu, Manungu]

Alhamisi Desemba 29

Ruvu Shooting v Simba

Azam FC v Tanzania Prisons [Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam]

Jumamosi Desemba 31

Mwadui FC v Kagera Sugar [Mwadui Complex, Mwadui]

African Lyon v JKT Ruvu [Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam]

Mbeya City v Mbao FC [Sokoine, Mbeya]

Jumapili Januari 1

Toto African v Stand United [CCM Kirumba, Mwanza]